Imechapishwa: May 4th, 2017
Afisa uvuvi wa Halmashauri ya Mji Babati Bi.Grace Rambau (mwenye kofia) akiwa kwenye doria ya kukamata wavuvi haramu pamoja na zana zisizoruhusiwa kutumika ziwani....
Imechapishwa: April 28th, 2017
Baadhi ya kina Mama waliopeleka watoto wao katika kliniki ya Mrara kupatiwa Chanjo kwenye uzinduzi wa wiki ya Chanjo uliofanyika siku ya Ijumaa tarehe 28/04/2017 katika Hospitali ya Mrara....