Imechapishwa: March 4th, 2020
Mh. Paulina Gekulu akiwahamasisha wajasiriamali kushiriki mafunzo ya ujasiriamali na kuwashauri kujiunga kakika vikundi kitu ambacho kitawapelekea kupata mikopo isiyokua na riba endapo watakidhi vigez...
Imechapishwa: March 4th, 2020
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Manyara Mh. Simon Lulu akabidhiwa zawadi na Bw. Salavai Izina Meneja masoko wa Chuo cha Elimu kwa wote katika semina ya Wajasirimali iliyofanyika Mjini Babati Mkoani Ma...
Imechapishwa: March 4th, 2020
Mkufunzi kutoka chuo cha Elimu kwa wote awaonesha wajasiriamali mwonekano wa batiki mbalimbali (kufinyanga, kuchovya na kuprinti) baada ya kufanya zoezi la utengenezaji wa batiki hizo kwa vitendo. Aid...