Imechapishwa: October 13th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Queen Sendiga ametembelea baadhi ya Vituo vya Uandikishaji wapiga kura katika daftari la Mkazi katika Halmashauri ya Mji wa Babati ambapo ina jumla ya Vituo takribani 90.
...
Imechapishwa: October 10th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Queen Sendiga amefungua maadhimisho ya Siku ya mbolea Duniani yanayotarajia kufanyika Kitaifa Mkoani Manyara,maadhimisho hayo yamefanyika katika Viwanja vya Stendi ya zaman...
Imechapishwa: October 9th, 2024
Halmashauri ya Mji wa Babati imefanya mafunzo kwa kamati za mikopo ngazi ya Halmashauri,kamati za mikopo ngazi ya Kata pamoja na Timu ya menejimenti anbapo mafunzo hayo yamehudhuriwa na Watendaji wa K...