• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka Ngumu
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa/Kijiji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Biashara
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

Kilimo

MAJUKUMU YA IDARA YA KILIMO MIFUGO NA UVUVI

IDARA YA KILIMO MIFUGO NA UVUVI INA SEHEMU TATU (3)

SEHEMU YA KILIMO

SEHEMU YA MIFUGO NA

SEHEMU YA UVUVI

MAJUKUMU YA SEHEMU YA KILIMO

• Kutekeleza sera, sheria, kanuni na miongozo ya kilimo

Kudhibiti visumbufu vya mazao na mimea.

• Kukusanya takwimu za bei za mazao

Kushirikiana na mamlaka husika katika kusimamia na kuratibu shughuli za ushirika na umwagiliaji.

Kukusanya takwimu za upatikanaji wa mazao katika masoko

• Kufanya ukaguzi wa ubora na matumizi ya pembejeo na zana.

• Ufatiliaji wa mwenendo wa soko la mazao ya biashara.

• Kuendesha mafunzo juu hifadhi bora ya udongo na maji

• Kutoa habari juu ya teknolojia mpya za kilimo kwa wadau.

• Kuandika/kutoa taarifa za utekelezaji kwa sekta ndogo ya mazao.

Kusimamia/kuendesha taaluma ya uzalishaji mboga, matunda, maua na mazao mengine.

• Kusimamia/kuendeleza uzalishaji wa mbegu bora.

• Kuandaa, kutayarisha kufunga na kusambaza mbegu bora.

• Kufanya majaribio ya magonjwa kwenye mbegu.

Kufanya ukaguzi wa mbegu mpya kwa kushirikiana na watafiti wa mbegu kabla ya kupitishwa.

• Kuendesha mafunzo ya kuzalisha mboga, matunda,maua na viungo.

• Kuhamasisha uzalishaji wa mazao ya bustani.

Kufanya utafiti mdogo mdogo wa mazao yanayofaa kulimwa katika sehemu ya kilimo cha umwagiliaji.

• Kufanya upimaji na utafiti wa udongo.

• Kuhamasisha unanzishaji wa vikundi vya wakulima/wamwagiliaji.

• Kuzalisha mbegu za msingi baada ya kuzalishwa na watafiti.

Kuendesha/kusimamia mashamba ya majaribio ya mbegu na uchunguzi wa maabara ili kuondoa utata juu ya mbegu.

MAJUKUMU YA SEHEMU YA MIFUGO

Kutekeleza sera, sheria, kanuni na miongozo ya mifugo

Kutoa elimu ya ufugaji bora wa mifugo kwa wafugaji

Kutoa kinga na tiba kwa mifugo dhidi ya magonjwa mbalimbali

Kuboresha kosaafu za mifugo kwa kufanya uhimilishaji

Utoaji wa vibali vya kusafirisha Mifugo ndani ya nchi

MAJUKUMU YA SEHEMU YA UVUVI

Kutekeleza sera, sheria, kanuni na miongozo ya uvuvi

Uhifadhi wa samaki na viumbe wengine wa majini na mazingira yao

Kuendeleza uvunaji endelevu wa samaki na viumbe wengine wa ziwa Babati  na mabwawa

Kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu uvuvi bora, utengenezaji na uhifadhi bora wa samaki na mazao ya uvuvi, biashara na masoko ya samaki pamoja na ufugaji wa samaki na viumbe wengine wa majini.

Kutoa leseni za uvuvi

Kuendesha mafunzo ya taaluma ya uvuvi

Kusimamia na kutekeleza sheria ya uvuvi (kuzuia uvuvi haramu)

Kusimamia ukusanyaji wa takwimu za uvuvi pamoja na maduhuli

Kuratibu shughuli za utafiti wa uvuvi

Kutoa ushauri na mafunzo kwa wananchi juu ya uendelezaji wa matumizi endelevu ya rasilimali za uvuvi

Kukagua ubora wa samaki na mazao ya uvuvi kwa kuzingatia viwango vya Kitaifa.

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili 2025. May 08, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR CONSTRUCTION SUPERVISION CONSUTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BABATI TOWN UNDER TACTIC PRJECT TIER 2 March 07, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • Kikao kazi cha maazimio ya mikakati ya kupunguza Ukatili wa kijinsia.

    May 29, 2025
  • Wakazi wa Halmashauri ya Mji Babati wanufaika na Gulio la Gendi.

    May 28, 2025
  • Elimu ya Matumizi sahihi ya Dawa za Binadamu imetolewa kwa Watumishi wa Halmashauri ya Mji Babati.

    May 28, 2025
  • Baraza maalum la Hoja Halmashauri ya Mji wa Babati.

    May 27, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Makala ya Miradi ya Maendeleo Halmashauri ya Mji wa Babati 2024
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati