IDARA YA UJENZI
VIBALI VYA UJENZI
1. KIBALI CHA UJENZI
Kilingana na sheria ya ujenzi wa majengo mijini si ruhusa kwa mtu yeyote kujenga au kuanza kujenga jengo bila ya:-
2. KIBALI CHA AWALI (planning consent)
Inashauriwa kupata kibali cha awali kabla ya kuomba kibali cha ujenzi. Hivyo muendelezaji anatakiwa aandae mchoro wa awali (outline plan) kwa utaratibu unaotakiwa ukionesha aina ya ujenzi.
3. JINSI YA KUWASILISHA MAOMBI YA KIBALI CHA UJENZI
4. MICHORO ILIYOANDALIWA IONYESHE NINI
5. VIAMBATANISHO
6. HATUA ZINAZOFUATWA KATIKA KUSHUGHULIKIA MAOMBI YA KIBALI
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati