• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka Ngumu
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa/Kijiji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Biashara
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

Utawala

Halmashauri ya Mji wa Babati ina jumla ya Kata 8, Mitaa 35,Vijiji 13 na Vitongoji 54.Halmasahuri ina Mbunge 1 wa kuchaguliwa na ina Madiwani 8 wa kuchaguliwa pamoja na Madiwani 3 wa viti maalum.Idara ya utawala na utumishi inatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria ya utumishi wa umma za mwaka 2002 pamoja na kanuni zake za mwaka 2003,Taratibu za uendeshaji wa utumishi wa umma za mwaka 2003,kanuni za kudumu za utumishi wa umma za mwaka 2009 toleo la 3 pamoja na miongozo mbalimbali inayotolewa na serikali ihusuyo Utumishi wa umma.

MAJUKUMU YA IDARA YA UTAWALA NA USIMAMIZI WA RASILIMALIWATU

1. Kuratibu masuala ya ajira, upandishwaji vyeo, kuthibitishwa kazini na uhamisho
2. Kushughulikia malimbikizo ya mishahara na stahili nyingine za watumishi; stahili za uhamisho n.k kwa kuweka kumbukumbuzake sawa.
3. Kushughulikia stahili zote za watumishi ambao utumishi wao umekoma kwa Mujibu wa Sheria.
4. Kuratibu ulipaji wa mishahara kupitia Mfumo wa HCMIS kwa watumishi wanaolipwa na Serikali Kuu na wanaolipwa na Mfuko wa Mapato ya Ndani.
5. Kuratibu ulipaji wa mishahara kwa watumishi wenye ajira mikataba ya muda.
6. Kushughulikia masuala yote ya Taarifa za Kiutumishi kupitia Mfumowa HCMIS
7. Kuratibu Mfumowa Wazi wa Mapitio na Tathmini ya Utendaji Kazi kwa Watumishi.
8. Kuwaondoa kwenye orodha ya malipo ya mishahara watumishi wote ambao Utumishi wao umekoma kwa sababu mbalimbali za Kisheria.
9. Kuratibu maandalizi ya Makisio ya Bajeti ya Matumizi Mengine (OC) – Recurrent Budget.
10. Kuratibu maandalizi ya Makisio ya Bajeti ya Mishahara kwa Watumishi (PE).
11. Kushughulikia mikopo ya watumishi katika Taasisi za fedha pamoja na kuweka kumbukumbnu za nakala za mikataba ya mikopo hiyo.
12. Kuratibu uandaaji wa orodha ya ukubwa kazini (Job Seniority).
13. Kusimamia mahudhurio ya watumishi kazini.
14. Kusimamia na kushughulikia stahili za mwezi na vikao kwa Wah. Madiwani.
15. Kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo inayohusu Utumishi wa Umma.
16. Kuandaa Mpango wa Mafunzo kwa watumsihi wote, masuala yote ya maendeleo ya Utumishi na mafunzo (Staff Development and Training).
17. Kuandaa taarifa ya Robo mwaka na kuziwasilisha Tume ya Utumishiwa Umma kwa wakati unaotakiwa (TUU).
18. Kuratibu masuala ya mikutano, viko na ziara katika Halmashauri.
19. Kuratibu uendeshaji wa Ofisi za Ngazi za Msingi za Halmashauri – Kata, Mitaa, Vijiji na Vitongoji.
20. Kuandaa Taarifa ya kila Robo ya utekelezajiwa kazi na majukumu ya Idara  kwa ajili ya kuziwasilsiha kwenye vikao vya kisheria vya Halmashauri.
21. Kusajili, kufungua, kutunza kumbukumbu na takwimu mbalimbali za Kiutumishi na za Halmashauri na kuhakikisha kumbukumbu/majalada/nyaraka zinapatikana zinapohitajika.
22. Kuratibu masuala ya usafiri shughuli za Idara na kufuatilia matumizi yake.
23. Kuratibu upatikanaji wa huduma za ulinzi, usalama, umeme, usafi na vitendea kazi katika Idara pamoja na Halmashauri (Makao Makuu).

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili 2025. May 08, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR CONSTRUCTION SUPERVISION CONSUTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BABATI TOWN UNDER TACTIC PRJECT TIER 2 March 07, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • Kuelekea uboreshaji Daftari la kudumu la Wapiga Kura awamu ya Pili.

    May 12, 2025
  • Mhe.Kololi amepongeza Ukusanyaji wa Mapato katika Halmashauri ya Mji Babati.

    May 09, 2025
  • Timu ya Menejimenti Halmashauri ya Mji Babati imefanya Ziara kukagua Miradi ya Maendeleo

    May 07, 2025
  • Watumishi Manyara wametakiwa kupendana na kuacha chuki.

    April 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Makala ya Miradi ya Maendeleo Halmashauri ya Mji wa Babati 2024
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati