• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka Ngumu
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa/Kijiji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Biashara
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

Viwanda Biashara na Uwekezaji

MAJUKUMU YA IDARA YA VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI

Idara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara imeundwa kwa mujibu wa Hati idhini GN Namba 384 ya mwaka 2022. Utekelezaji wa Wizara hii inatekeleza majukumu yake ya kimuundo kwa kuzingatia maelekezo ya Viongozi Wakuu wa Serikali, sambamba na mipango mbalimbali ya kitaifa na kimataifa kama ilivyoainishwa kwenye Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa (SDGs 2030); Agenda ya Afrika 2063; Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025; Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu ya Mwaka 2020; na Mpango wa tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22-2025/26.

Pia, katika kuchochea kasi ya ujenzi wa uchumi wa viwanda nchini, Idara kwa kushirikiana na wadau mbalimbali inaendelea kufanya mapitio ya Sera, Mikakati na Sheria za kisekta ili ziweze kuendana na mahitaji ya sasa. Sera hizo ni pamoja na Sera ya Taifa ya Uhamasishaji Uwekezaji (1996); Sera ya Maendeleo Endelevu ya Viwanda (SIDP, 1996 - 2020); Sera ya Maendeleo ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo (2003); Sera ya Masoko ya Mazao ya Kilimo (2003); na Sera ya Taifa ya Biashara (2003). Zoezi hilo linakwenda sambamba na kurejea Sheria na Mikakati ya kisekta ikiwemo Mkakati wa kuendeleza zao la alizeti; Sheria ya Kujilinda dhidi ya Athari za Kibiashara (Trade Remedies Act, 2021); Sheria ya Uwekezaji (1997) na Sheria ya Ushindani (2003).

1.2 Majukumu ya Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji 

  • Majukumu ya msingi ya Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kwa mujibu wa muundo ni kama ifuatavyo;
  • Kuratibu utekelezaji wa sera, sheria kanuni na miongozo inayohusiana na viwanda, biashara na masoko na uwekezaji
  • Kupanga na kuendeleza maeneo ya uwekezaji kwa kushirikiana na wadau
  • Kupanga vichocheo vya viwanda, biashara, masoko na uwekezaji
  • Kuendeleza viwanda vidodovidogo
  • Kuendeleza masuala ya biashara na kuzingatia utoaji wa huduma za biashara (one stop business center)
  • Kufanya utafiti juu ya uwekezaji
  • Kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji
  • Kuandaa makongamano ya biashara
  • Kusimamia minada na shughuli za masoko
  • Kuratibu masuala ya Baraza la Biashara la Wilaya

Majukumu haya yametekelezwa na kuongozwa na Sera,  sheria, kanuni na miongozo mbalimbali kama vile; Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020/2025, Mpango wa maendeleo ya Taifa 2021-2025,Dira ya Taifa ya Maendeleo endelevu ya mwaka 2030 na vipaumbele ya Halmashauri ya Mji Babati katika Mpango na bajeti ya mwaka 2024/2024.

1.3 Hali ya Watumishi

Idara ina watumishi 4 walioajiriwa (Mkuu wa Idara na maafisa Biashara watatu (3).

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili 2025. May 08, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR CONSTRUCTION SUPERVISION CONSUTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BABATI TOWN UNDER TACTIC PRJECT TIER 2 March 07, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • Kikao kazi cha maazimio ya mikakati ya kupunguza Ukatili wa kijinsia.

    May 29, 2025
  • Wakazi wa Halmashauri ya Mji Babati wanufaika na Gulio la Gendi.

    May 28, 2025
  • Elimu ya Matumizi sahihi ya Dawa za Binadamu imetolewa kwa Watumishi wa Halmashauri ya Mji Babati.

    May 28, 2025
  • Baraza maalum la Hoja Halmashauri ya Mji wa Babati.

    May 27, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Makala ya Miradi ya Maendeleo Halmashauri ya Mji wa Babati 2024
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati