Bw.William Haaly
Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii
SEKTA YA MAENDELEO YA JAMII
Halmashauri ya Mji wa Babati kwa mwaka wa fedha 2016/2017 vikundi 29 vya vijana vyenye jumla ya vijana 263 na vikundi vya wanawake 79 vyenye jumla ya wanawake 535.Aidha Halmashauri inaendelea kutenga asilimia 10% (5% vijana na 5% wanawake) za mapato ya ndani kwa ajili ya kuchangia Mfuko wa Maendeleo ya vijana na wanawake. Katika bajeti ya 2016/2017 Halmashauri imetenga Tshs Milioni Mia Tano (500,000,000/=) kwa ajili ya kukopesha vijana na wanawake kupitia vikundi vya kuichumi.Kwa mwaka wa fedha 2016/17 Halmashauri imechangia Tshs. Milioni Kumi na Tatu (13,000,000/=) kwa lengo la kuwezesha vijana na wanawake kukopa na kuendeleza biashara zao, na kujipatia kipato ili kupunguza ukosefu wa ajira.
Katika kuweka utaratibu utakaowezesha wananchi kuwa na Bima ya Afya ili kumudu gharama za matibabu, Halmashauri inaendelea kuelimisha na kuhamasisha Wananchi wasio na ajira rasmi kujiunga na Mfuko wa Bima ya Afya ya Jamii iliyoboreshwa kwa wastani wa kaya 1,791 kwa kipindi cha mwaka 2016. Kwa kipindi cha mwezi Julai 2016 mpaka mwezi Desemba 2016 jumla ya kaya zilizojiunga na mfuko wa bima ya afya ya jamii ni 785 sawa na watu 3972.
Halmashauri ya Mji wa Babati katika kukamilisha Sera ya Huduma za Ustawi wa Jamii pamoja na Mkakati wake wa Utekelezaji, imehakikisha wazee wanatambuliwa na kupewa matibabu bure katika hospitali za Serikali. Katika kutekeleza hili utambuzi wa Wazee 4557 umefanyika ili waweze kupatiwa huduma za afya bure mara baada ya kuhakikiwa.
Kuimarisha upatikanaji wa haki na huduma za makundi maalum wakiwemo watu wenye ulemavu wa ngozi (Albinism) na watoto wanaoishi mitaani ikiwa ni pamoja na kuanzisha Kamati za Ulinzi wa Mtoto. Kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2016/2017Halmashauri ya Mji wa Babati imepanga kuanzisha na kuzijengea uwezo kamati za Walemavu na kamati za ulinzi wa Mtoto katika Mitaa 35 na Vijiji 13 kwa kipindi cha mwaka 2016
CHANGAMOTO ZILIZOPO:
NAMNA YA KUKABILIANA NAZO:
Elimu inatolewa kwa vikundi vya vijana kupokea wanachama wapya wenye sifa na kustaafisha wanachama waliovuka umri wa ujana.
Kuendelea kutenga bajeti kwa kutumia mapato ya ndani ya Halmashauri
TAARIFA YA UTEKELEZAJI MRADI WA TASAF AWAMU YA TATU, MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI HALMASHAURI YA MJI WA BABATI
JULAI 2015-DESEMBA 2016.
1.0 Utangulizi:
Halmashauri ya Mji wa Babati ni miongoni mwa Halmashauri/Manispaa na Miji 27 zilizoko katika awamu ya tatu ya utekelezaji. Utekelezaji wa Mpango huu unafuatia kumalizika kwa utekelezaji wa mapango wa TASAF Awamu ya pili ambao ulilenga kuboresha miundombinu ya kijamii katika sekta za elimu, afya, maji na ujenzi.
Katika kipindi chote,utekelezaji wa TASAF III ndani ya Halmashauri ya Mji wa Babati ulifanywa kama ilivyokuwa imepangwa mbali na changamoto chache zilizojitokeza
2.0 Utekelezaji:
Halmashauri ya Mji wa Babati ina jumla ya Mitaa 16 na Vijiji 5 vilivyo kwenye Mpango wa kunusuru kaya maskini sana TASAF III ikiwa na idadi ya kaya lengwa 1079 zilizoandikishwa. Walengwa hao walipitishwa kwenye mikutano mikuu ya Mitaa/Vijiji husika kwa kufuata vigezo vya umaskini vilivyowekwa.
Jedwali hapa chini linaonyesha idadi ya walengwa kwa kila Mtaa/Kijiji.
Na
|
Kijiji/Mtaa
|
Idadi ya kaya
|
1
|
Babati Mjini
|
20
|
2
|
Hangoni
|
31
|
3
|
Kwere
|
38
|
4
|
Maisaka B
|
45
|
5
|
Majengo
|
31
|
6
|
Mrara
|
29
|
7
|
Waang'waray
|
35
|
8
|
Mjimpya
|
44
|
9
|
Nakwa
|
127
|
10
|
Negamsi
|
34
|
11
|
Ngarenaro
|
30
|
12
|
Nyanguu
|
64
|
13
|
Oysterbay
|
45
|
14
|
Kiongozi
|
94
|
15
|
Malangi
|
67
|
16
|
Chemchem
|
53
|
17
|
Arri
|
30
|
18
|
Nangara Kati
|
50
|
19
|
Singu
|
60
|
20
|
Gendi Barazani
|
41
|
21
|
Managhat
|
111
|
|
TOTAL
|
1,079
|
Utekelezaji wa Mpango huu umekuwa ukienda sambamba na zoezi la Uhawilishaji fedha kwa walengwa hawa ambapo kati ya kipindi cha mwezi Julai 2015 hadi Mwezi Desemba 2016, jumla ya Shilingi 403,705,000/= zilipokelewa kutoka TASAF Makao makuu na kufanya malipo kwa kaya maskini ambapo Shilingi 403,037,000 ziliweza kulipwa kwa kaya husika kama jedwali hapo chini linavyoonyesha.
Jedwali kuonyesha kiasi cha pesa kilichohawilishwa(Julai 2015-Desemba 2016)
Na
|
Kipindi cha malipo
|
Kiasi kilichopokelewa
|
Kiasi kilichotumika
|
Kiasi kilichorejeshwa
|
1
|
JULY/AUGUST 2015
|
49,531,500
|
49,375,500
|
156,000
|
2
|
SEPTEMBER/OCTOBER 2015
|
47,587,500
|
47,567,500
|
20,000
|
3
|
NOVEMBER/DECEMBER2015
|
42,004,000
|
41,848,000
|
156,000
|
4
|
JANUARY/FEBRUARY 2016
|
44,923,500
|
44,903,500
|
20,000
|
5
|
MARCH/APRIL 2016
|
45,085,500
|
44,985,500
|
100,000
|
6
|
MAY/JUNE 2016
|
43,681,500
|
43,621,500
|
60,000
|
7
|
JULY/AUGUST 2016
|
43,632,000
|
43,632,000
|
0
|
8
|
SEPT/OCTOBER 2016
|
43,609,500
|
43,609,500
|
0
|
9
|
NOVEMBER/DECEMBER 2016
|
43,650,000
|
43,494,000
|
156,000
|
|
JUMLA
|
403,705,000
|
403,037,000
|
668,000
|
Jumla ya Sh.668, 000 hazikuweza kulipwa kwa walengwa husika kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo vifo vya walengwa, kuhama kwa kaya nje ya eneo la utekelezaji n.k. Kiasi hicho cha pesa kilichobakia kimekuwa kikirejeshwa TASAF Makao makuu kama taratibu zinavyotaka.
3.0 Changamoto katika utekelezaji

Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati