• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka Ngumu
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa/Kijiji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Biashara
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

Mhe.Queen amehitimisha ziara ya kukagua miradi na kusikiiza kero za Wananchi katika Halmashauri ya Mji wa Babati

Imechapishwa: December 12th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Queen Sendiga ameendelea na Ziara yake katika Kata ya Babati na Bagara Halmashauri ya Mji wa Babati.

Ziara hiyo ya Mhe.Sendiga lengo ni kukagua miradi ya Maendeleo katika Halmashauri ya Mji wa Babati kusikiliza na kutatua kero za Wananchi kwa ujumla.

Mhe.Sendiga amesisitiza Ujenzi wa Nyumba za kisasa na sehemu nzuri zaidi ya kiabishara ili kuvutia Watalii wakati wa Utalii hifadhi ya Tarangile.

Aidha amesisitiza kuhusu eneo la mipaka kuwa litashughulikiwa ili kuondoka changamoto za eneo la Kiutawala kiutaratibu.

Pia amewataka kushirikishana katika Shughuli zinazofanywa na Halmashauri na Kitengo cha Mipango Miji na Taasisi za Maji,Umeme pamoja na Barabara.

Vilevile Mhe.Queen amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Babati kuhakikisha Kituo cha Polisi kinajengwa ili kudumisha Usalama wa Wananchi na Wanafunzi kwa ujumla.

Mhe.Sendiga ametaka ifikapo muda wa kufunguliwa Shule Maabara iwe imekamilika katika Shule ya Sekondari Wang'waray ili Wanafunzi wa Sayansi waweze kusoma masomo hayo bila changamoto.

Pia amewataka Wazazi kuzungumza na Watoto na kuwatengenezea mbinu za kujiaami katika Mazingira yao wanaoishi katika jamii.

Sambamba na hilo Mhe.Queen Sendiga amepongeza Uongozi wa Halmashauri ya Mji wa Babati kwa ufuatiliaji na Usimamizi mzuri wa Miradi ya Maendeleo.

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili 2025. May 08, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR CONSTRUCTION SUPERVISION CONSUTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BABATI TOWN UNDER TACTIC PRJECT TIER 2 March 07, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • Mhe.Queen Sendiga amezindua Nyumba 2 za (2in1) za Walimu Chemchem.

    January 05, 2026
  • Takribani Shiingi Milioni 320,000,000/=Mkopo wa 10% zimetolewa kwa vya Vijana,Wanawake na Watu wenye Ulemavu

    December 31, 2025
  • Tuzo zimetolewa kwa Shule za Msingi zilizfoanya vizuri katika Halmashauri ya Mji wa Babati

    December 13, 2025
  • Mhe.Queen amehitimisha ziara ya kukagua miradi na kusikiiza kero za Wananchi katika Halmashauri ya Mji wa Babati

    December 12, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Makala ya Miradi ya Maendeleo Halmashauri ya Mji wa Babati 2024
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati