• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka Ngumu
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa/Kijiji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Biashara
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

Kilele cha nane nane;

Imechapishwa: August 8th, 2025

Wafugaji watakiwa kushiriki katika kampeni ya chanjo.

Hayo yameelezwa na Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu wakati akihutubia kwenye kilele  cha Maonesho ya nanenane ya 31 Kanda ya Kaskazini yaliyofanyika katika viwanja vya Themi-Njiro Jijini Arusha.

Mhe.Babuu ameeleza kuwa kampeni ya  chanjo na utambuzi wa  mifugo ni muhimu kwa kuwa itaenda sambamba na uboreshaji wa majosho, kujua idadi ya mifugo, kupunguza hatari za wizi wa mifugo na kuongeza thamani ya bidhaa za ngozi kwa kuacha alama za kimila kwenye mifugo.

"Kauli mbiu ya Maonesho haya ya nanenane imelenga kuhamasisha Wananchi kushiriki Uchaguzi Mkuu kwa Amani na utulivu".ameeleza.

Pia ameongeza  kuwa siku mbili zimeongezwa ili kutoa fursa kwa Wananchi kuendelea kutembelea Mabanda na kuona teknolojia  mpya na za kisasa zinazotumika katika uzalishaji wa bidhaa za  kilimo,mifugo na uvuvi.

Awali akisoma taarifa ya Maonesho ya nanenane Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Bi.Mariam Muhaji amesema kuwa jumla ya Taasisi 222. zimeshiriki katika Maonesho hayo na hadi kufikia Agosti 2025 jumla ya wananchi 35984 wamehudhuria katika Maonesho hayo.

Maonesho ya nanenane Kanda ya Kaskazini yatafungwa Agosti10/2025.

"Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi 2025."

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili 2025. May 08, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR CONSTRUCTION SUPERVISION CONSUTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BABATI TOWN UNDER TACTIC PRJECT TIER 2 March 07, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • Halmashauri ya Mji Babati imeibuka Mshindi katika Idara ya mifugo kwa kushika nafasi ya kwanza na kupewa kombe kubwa kwa kandaya kaskazini.

    August 08, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu atembelea Banda la mifugo la Halmashauri ya Mji Babati.

    August 08, 2025
  • Kilele cha nane nane;

    August 08, 2025
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Babati CPA.Shaaban Mpendu ametembelea Mabanda ya Halmashauri yaliyopo katika Viwanja vya Themi-Njiro Jijini Arusha..

    August 07, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Makala ya Miradi ya Maendeleo Halmashauri ya Mji wa Babati 2024
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati