Imechapishwa: August 18th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga ameweka jiwe la Msingi katika mradi wa maktaba Shule ya Sekondari Sigino ambapo mradi huo umegharimu kiasi cha shilingi 92,387,000 na unatarajiwa kuzinduliwa...
Imechapishwa: August 10th, 2023
Baraza la Madiwani likiongozwa na Mhe.Abdulrahman H. Kololi Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Babati limekutana leo katika ukumbi wa Mji wa Babati kujadili mihutasari ya kama...
Imechapishwa: August 8th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Queen Cuthbert Sendiga amewaongoza wananchi wa Arusha, Manyara na Kilimanjaro kwenye kilele cha maadhimisho ya nanenane yaliyofanyika kanda ya kaskazini Themi-Njiro jijini ...