Imechapishwa: October 17th, 2024
Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Mji Babati Bw.Gasto Silayo amewataka Wananchi kuendelea kuhamasishana kujitokeza kujiandikisha katika daftari la Mkazi ili waweze kushiriki katika Uchaguz...
Imechapishwa: October 15th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Emmanuella Mtatifikolo Kaganda ametumia usafiri wa pikipiki ya matairi matatu maarufu kama bajaji ili kuhamasisha wananchi wa Wilaya ya Babati kujitokeza kushiriki kujian...
Imechapishwa: October 11th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Queen Sendiga ameongoza wananchi kujiandikisha katika daftari la wapiga kura katika Kituo cha Mtaa wa Mrara Kata ya Babati.
Mhe.Sendiga amewataka Wananchi wote wenye...