Imechapishwa: November 28th, 2020
Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Babati Bw Lazaro Jacob Twange leo tarehe 28 Mwezi Novemba 2020 amefungua Bonanza la Michezo kati ya watumishi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino na wenyeji watumishi...
Imechapishwa: October 1st, 2020
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF umeendesha zoezi la uhawilishaji wa ruzuku kwa kaya maskini. Zoezi hilo lililochukua muda wa siku mbili yaani tarehe 29 na 30 Septemba 2020 ikiwa ni malipo ya awamu...
Imechapishwa: September 24th, 2020
Idara ya maendeleo ya jamii kupitia kitengo cha mikopo katika halmashauri ya mji wa Babati leo tarehe 23. 9. 2020 imeendelea kutoa mafunzo kwa vikundi vinavyotarajiwa kupata mikopo. Mafunzo hayo yanah...