• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka Ngumu
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa/Kijiji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Biashara
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

Halmashauri ya Mji Babati imeadhimisha Siku ya Mtoto Afrika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Sendo.

Imechapishwa: June 16th, 2025

Halmashauri ya Mji Babati imeadhimisha Siku ya Mtoto Afrika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Sendo Kata ya Mutuka yenye kauli mbiu isemayo;’’Haki za Watoto;Tulipotoka,Tulipo na Tuendako’’

Maadhimisho hayo yameudhuriwa na Wazazi,Walezi,Mashirika yasiyo ya Kiserikali,Wadau mbalimbali,Kaimu Mkurugenzi na Watumishi kutoka Idara ya Maendeleo ya Jamii,Watendaji wa Kata,Wenyeviti wa Vijiji ,Wanafunzi , Walimu na Mgeni rasmi katika Maadhimisho hayo ni Bi.Frida Mumbiri Afisa Elimu Msingi Taaluma wa Halmashauri ya Mji Babati kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Babati.

Bi.Frida Mumbiri amesisitiza malezi ya watoto kwa Wazazi ni muhimu sana hivyo kila mzazi atimize majukumu yake ili kuweza kuwa na kizazi kizuri hapo baadae.

Pia ameongeza kuwa Serikali imeendelea kuboresha mazingira mazuri katika kutoa Elimu Bora kwa watoto ili kuweza kufanya vizuri zaidi katika masomo.

Aidha amesisitiza suala la lishe kwa watoto mashuleni,Wazazi wametakiwa kupeleka chakula kwa wakati Shuleni ili Wanafunzi wawe na afya njema.

Bi.Frida ametoa wito kwa Jamii kuacha vitendo vya ukeketaji na ukatili wa Kijinsia kwa watoto Jamii imetakiwa kushirikiana na Wadau mbalimbali pamoja na Viongozi ili kutokomeza vitendo hivyo.

Vilevile amesemakuwa kauli mbiu inaakisi kabisa hali tuliyonayo kwa Sasa "Haki za Watoto,Tulipotoka,Tulipo na Tuendako hivyo Wazazi tuendelee kushirikiana kutokomeza ukatili wa kijinsia kwa watoto.

Mkuu wa Dawati la Kijinsia kwa watoto Afande Fatuma Silaa amesisitiza Wazazi kutokufumbia macho suala la Ukatili kwa Watoto kwa kumalizana nyumbani wametakiwa kuripoti katika Dawati la Kijinsia na mtuhumiwa kufikishwa katika vyombo vya Ulinzi na Usalama.

Sambamba na hilo Maadhimisho hayo yamepambwa na burudani kutoka kwa Wanafunzi yenye ujumbe mbalimbali katika ngonjera,mashairi na nyimbo.

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili 2025. May 08, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR CONSTRUCTION SUPERVISION CONSUTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BABATI TOWN UNDER TACTIC PRJECT TIER 2 March 07, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • Muendelezo wa Ziara ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Babati Kata kwa Kata katika Halmashauri.

    June 23, 2025
  • Halmashauri ya Mji wa Babati imetembelewa na Maafisa kutoka Skuli ya Bububu Zanzibar

    June 23, 2025
  • Mafunzo yametolewa kwa wanufaika wa mikopo Awamu ya Tatu katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji Babati.

    June 21, 2025
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Babati amefanya ziara katika Kata ya Bonga.

    June 20, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Makala ya Miradi ya Maendeleo Halmashauri ya Mji wa Babati 2024
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati