• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka Ngumu
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa/Kijiji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Biashara
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

Mhe. Kaganda amesisitiza upatikanaji wa chakula Mashuleni.

Imechapishwa: January 15th, 2026

Mhe. Kaganda amesisitiza upatikanaji wa chakula Mashuleni.

Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Emmanuela Mtatifikolo amewataka Watendaji wa Halmashauri ya Mji wa Babati kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuhusu umuhimu wa kula vyakula vyenye virutubisho, ikiwa ni hatua muhimu ya kuboresha afya na ustawi wa Watoto na Wananchi kwa ujumla.

Aidha Mhe. Kaganda ameelekeza elimu ya upandaji wa mboga za majani iendelee kutolewa mashuleni ili Wanafunzi wapate lishe bora kwa urahisi, sambamba na kuongeza uelewa kwa jamii juu ya uzalishaji wa vyakula vyenye virutubisho.

Vilevile amewapongeza Watendaji kwa jitihada zao zilizopelekea ongezeko la upatikanaji wa chakula mashuleni na kuwataka waendelee kuongeza juhudi zaidi ili kuhakikisha watoto wote waliopo mashuleni wanapatiwa chakula cha kutosha na chenye lishe.

Mhe. Kaganda amesisitiza kuwa lishe bora ni msingi wa maendeleo ya mtoto, ufaulu wa masomo na afya ya taifa kwa ujumla, na hivyo kuwataka viongozi na watendaji kuendelea kushirikiana kikamilifu katika kuboresha hali ya lishe katika jamii.


Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili 2025. May 08, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR CONSTRUCTION SUPERVISION CONSUTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BABATI TOWN UNDER TACTIC PRJECT TIER 2 March 07, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • Wawezeshaji wa Kamati ya Afya Mkoa(RCHMT) wametoa Elimu ya Bima ya Afya kwa wote katika Halmashauri ya Mji wa Babati.

    January 15, 2026
  • Mhe. Kaganda amesisitiza upatikanaji wa chakula Mashuleni.

    January 15, 2026
  • Wananchi Halmashauri ya Mji Babati kunufaika na uwepo wa Mashine ya kuongeza virutubishi vya lishe katika mashine za kusaga Nafaka ifikapo januari 30/ 2026.

    January 14, 2026
  • Mhe.Regina amesisitiza Ushirikiano, Umoja na kuzingatia Maadili ya Utumishi wa Umma

    January 08, 2026
  • Tazama zaidi

Video

Makala ya Miradi ya Maendeleo Halmashauri ya Mji wa Babati 2024
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati