• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka Ngumu
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa/Kijiji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Biashara
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

Wawezeshaji wa Kamati ya Afya Mkoa(RCHMT) wametoa Elimu ya Bima ya Afya kwa wote katika Halmashauri ya Mji wa Babati.

Imechapishwa: January 15th, 2026

Wawezeshaji wa Kamati ya Afya Mkoa(RCHMT) wametoa Elimu ya Bima ya Afya kwa wote katika Halmashauri ya Mji wa Babati.

Wawezeshaji Mkoa wa Manyara wametoa elimu ya Bima ya Afya kwa Wote katika Halmashauri ya Mji wa Babati, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya utekelezaji wa mpango wa kitaifa wa kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma bora za Afya.

Bima ya Afya kwa Wote itakuwa ya lazima na utekelezaji wake utaanza kwa kaya zisizo na uwezo ambazo zitalipiwa na Serikali. Serikali tayari imeanza kukusanya fedha kwa ajili ya kugharamia kaya hizo wakati mchakato wa kuwafikia wananchi wote ukiendelea.

Mchango utakuwa ni shilingi 150,000 kwa mwaka kwa kaya ya watu 6 kwa Huduma za Zahanati, Vituo vya Afya na 75% ya huduma ngazi ya Wilaya.

Huduma muhimu 372 ikiwemo rufaa, magonjwa sugu na usafiri wa gari la Wagonjwa( Ambulance)pamoja na Vifurushi vya ziada ikiwemo cha wanafunzi (Tsh 50,400).

Utambulisho utakuwa ni Kadi ya Bima, Namba ya Kadi au NIDA.

Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Emmanuela Mtatifikolo Kaganda amewataka Watendaji wa Kata pamoja na Wenyeviti wa Vijiji na Mitaa kuhakikisha Wananchi wanapata elimu ya kutosha kuhusu Bima ya Afya kwa Wote, ikiwa ni utekelezaji wa maono ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Pia Mhe.Kaganda ameitaka Halmashauri kushirikisha Wataalamu na Baraza la Madiwani katika zoezi hili.

Elimu tayari imeshaanza kutolewa kwa Watendaji wa Kata, Wenyeviti wa Vijiji na Mitaa pamoja na Wataalamu Halmashauri ya Mji wa Babati huku uzinduzi rasmi wa bima hii ukitarajiwa kufanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili 2025. May 08, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR CONSTRUCTION SUPERVISION CONSUTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BABATI TOWN UNDER TACTIC PRJECT TIER 2 March 07, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • Wawezeshaji wa Kamati ya Afya Mkoa(RCHMT) wametoa Elimu ya Bima ya Afya kwa wote katika Halmashauri ya Mji wa Babati.

    January 15, 2026
  • Mhe. Kaganda amesisitiza upatikanaji wa chakula Mashuleni.

    January 15, 2026
  • Wananchi Halmashauri ya Mji Babati kunufaika na uwepo wa Mashine ya kuongeza virutubishi vya lishe katika mashine za kusaga Nafaka ifikapo januari 30/ 2026.

    January 14, 2026
  • Mhe.Regina amesisitiza Ushirikiano, Umoja na kuzingatia Maadili ya Utumishi wa Umma

    January 08, 2026
  • Tazama zaidi

Video

Makala ya Miradi ya Maendeleo Halmashauri ya Mji wa Babati 2024
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati