• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka Ngumu
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa/Kijiji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Biashara
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

Wazazi na walezi wamehimizwa kuzingatia malezi bora kwa watoto.

Imechapishwa: March 20th, 2025

Wazazi na walezi wamehimizwa kuzingatia malezi bora kwa watoto.

Hayo yameelezwa na Afisa Maendeleo ya jamii wa Halmashauri ya Mji wa Babati Bw. Benjamin Richard wakati akiwasilisha ripoti ya utafiti ya ufuatiliaji wa malezi na makuzi ya watoto kwa marafiki wa Elimu iliyoandaliwa na Haki Elimu na imefanyika katika Ukumbi wa White Rose.

Aidha ameeleza kuwa jamii inapaswa kuhakikisha usalama wa watoto hauhatarishwi wanapokuwa nyumbani na wanapokuwa njiani kuelekea Shule ili waweze kupata haki yao ya Elimu na kufikia malengo yao.

Hata hivyo ameeleza kuwa Kati ya watu 168 waliohojiwa asilimia 97.7 wamekiri kuwa wazazi hawapati muda wa kukaa na kucheza na watoto kutokana na changamoto mbalimbali za maisha hali inayopelekea watoto kutokuwa karibu na wazazi wao.

Daktari Gilliard lupembe ni Mganga Mfawidhi hospitali ya Mji wa Babati ameeleza kuwa malezi ya watoto huanza tangu mama anapokuwa mjamzito hasa kipindi cha miezi mitatu ya mwanzo.

Pia ameeleza kuwa mama mjamzito anapaswa kuzingatia lishe bora kwa ajili ya kujenga ubongo imara wa mtoto ili iwe rahisi kufundishika anapokuwa shuleni.

Pia ameeleza kuwa ni manufaa kwa Taifa kwa kuwa watapatikana watoto imara kwa Maendeleo endelevu ya Taifa.

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili 2025. May 08, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR CONSTRUCTION SUPERVISION CONSUTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BABATI TOWN UNDER TACTIC PRJECT TIER 2 March 07, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • Halmashauri ya Mji Babati imepokea Ugeni kutoka Wizara ya Afya Ofisi ya Rais Tamisemi na Wizara ya Elimu.

    June 02, 2025
  • Kuelekea Umitashumta Taifa.

    June 01, 2025
  • Kikao kazi cha maazimio ya mikakati ya kupunguza Ukatili wa kijinsia.

    May 29, 2025
  • Wakazi wa Halmashauri ya Mji Babati wanufaika na Gulio la Gendi.

    May 28, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Makala ya Miradi ya Maendeleo Halmashauri ya Mji wa Babati 2024
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati