Imechapishwa: April 27th, 2017
Daktari Mkuu wa Halmashauri ya Mji Babati Dkt.Charles M. Mtabho akifafanua jambo wakati wa kikao cha Bodi ya Afya kilichofanyika Hospitali ya Mji Mrara siku ya Al hamis tarehe 27/04/2017....
Imechapishwa: April 25th, 2017
Wajumbe wa Kamati ya Mipango Miji na baadhi ya wataalamu kutoka Halmashauri ya Mji Babati wakikagua miradi ya maendeleo inayofanyika katika Mji wa Babati. ...