Skauti wakimpokea kiongozi wa mbio za mwenge mwaka 2018 Ndg. Charles Kabeho katika Halmashauri ya Mji wa Babati.
Mkuu wa wilaya ya Babati Bi.Elizabeth Kitundu akikabidhiwa mwenge wa uhuru tayari kuukimbiza katika Halmashauri ya Mji wa Babati. Mwenge huo ulikimbizwa ndani ya Halmashauri kwa umbali usiopungua km 83 na ulifungua/kuweka jiwe la msingi miradi 5 katika kata 3 za Babati, Bagara na Bonga.
Kikundi cha ngoma ya wanyasa wa Kigongoni wakitumbuiza wakati wa mapokezi ya mwenge wa uhuru mwaka 2018.
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati