Mganga Mkuu Hospitali ya Mji Babati Dr Charles M Mtabho akielezea katika Bodi ya Afya ya Mji Babati siku ya tarehe 27/04/2017.
Bi Pancrasia Malamsha Katibu kikundi cha Zinduka - VIKOBA Mtaa wa Maisaka B Kata ya Maisaka akizungumzia namna ya kukopa na kurejesha Mikopo.
Bwana Daniel Luther Mkuu wa Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika akielezea hali halisi ya mazao mashambani
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati