Bi Grace Ngo akisoma Risala kwa mgeni Rasmi katika uzinduzi wa Wiki ya Chanjo iliyoadhimishwa katika Hospitali ya Mji - Halmashauri ya Mji Babati tarehe 28/04/2017.
Kikundi cha Burudani wakiburudisha katika uzinduzi wa wiki ya Chanjo iliyoadhimishwa Halmashauri ya Mji Babati siku ya tarehe 28/04/2017 katika Hospitali ya Mji Babati.
Mwenyekiti wa Bodi ya Afya Halmashauri ya Mji Babati Bwana Wilson Abong'o akielezea kuhusu kuvunja Bodi
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati