Akina mama na watoto wao katika uzinduzi wa wiki ya Chanjo iliyoadhimishwa Halmashauri ya Mji Babati siku ya tarehe 28/04/2017 katika Hospitali ya Mji Babati.
Mkuu wa Wilaya ya Babati Bwana Raymond Mushi akizindua Wiki ya Chanjo iliyoadhimishwa
katika Hospitali ya Mji - Halmashauri ya Mji Babati tarehe 28/04/2017.
Pia alisisitiza umuhimu wa Chanjo.
Bwana Erick Massawe mwenyeji wa Mrara Juu aliyeonesha ushirikiano wa kumpeleka mtoto
wake kupata Chanjo Hospitali ya Mji Babati katika Wiki ya Chanjo iliyoadhimishwa Halmashauri ya Mji Babati tarehe 28/04/2017.
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati