Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Babati Mh. Yona Q. Wawo akiwa na kamati ya fedha na uongozi wakikagua Mradi wa ujenzi wa shimo la Maji taka na ukarabati wa choo cha mabasi stendi ya Mabasi Makatanini.
Ukamilishaji wa mradi wa nyumba ya 2 kwa 1 (two in one) shule ya msingi Nakwa.
Ujenzi wa kituo cha Afya Mutuka
Miongoni mwa Miradi iliyotembelewa ni pamoja na ujenzi wa Kituo cha Afya Mutuka kama inavyoonekana katika hatua iliyofikia.
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati