Meneja wa Hali ya Hewa Kanda ya Nyanda za juu Kaskazini Mashariki Bi. Juwairia K. Mshana akisoma hutuba kwa Waziri Mhagama.
Mh. Waziri Mhagama alipotembelea Kituo cha Hali ya Hewa Babati.
Mtaalamu wa Hali ya Hewa akitoa Maelezo kwa Mh. Waziri
Mkurugenzi wa idara ya uratibu wa Maafa kutoka ofisi ya Waziri Mkuu Brigedia Jenerali M.A. Msuya akitoa maelezo Mh.Waziri Mhagama.
Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mh.Jenista Mhagama katika ziara ya kituo cha Hali ya Hewa.
Mkurugenzi wa idara ya uratibu wa Maafa kutoka ofisi ya Waziri Mkuu Brigedia Jenerali M.A. Msuya akitoa maelezo Mh.Waziri Mhagama.
Waziri Mhagama akiongea na Mkurugenzi wa Mji Babati Bwana Fortunatus Fwema
Mkurugenzi wa Mji wa Babati Bwana. Fortunatus Fwema akitoa maelezo kwa Mh.waziri Jenista Mhagama Kulia.
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati