Niabu waziri wa michezo na mbunge wa jimbo la Babati Mjini Mheshimiwa Pauline Gekul ameendelea na ziara zake katika kutembelea miradi mbalimbali Jimbo kwake Babati, Pichani akiwa katika mradi wa ujenzi wa wodi ya wazazi katika hospital ya Mji wa Babati (Babati Hospital). Katika ziara hiyo aliambatana na viongozi mbalimbali wa Halmashur ya Mji wa Babati wakiwemo Mkuu wa wilaya ya Babati Mheshimiwa Lazaro Twange, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Babati, Katibu wa CCM Babati Mjini na wengine wengi.
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati