Mkurugenzi wa Mji wa Babati Bw. Fortunatus Fwema akiongozana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za mitaa (LAAC) tarehe 13 Machi, 2020 ilifanya ziara katika Halmashauri ya Mji wa Babati Mkoani Manyara Katikati ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikaliza mitaa (LAAC) Bw. Vedastu Ngomale walipokua kutembelea mradi wa barabara za lami.
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati