• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka Ngumu
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa/Kijiji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Biashara
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

Walimu wapewe Tuzo za Ufundishaji bora katika Halmashauri ya Mji wa Babati.

Imechapishwa: December 3rd, 2025

Walimu kutoka Shule 22 za Halmashauri ya Mji Babati zilizofanya vizuri kwa miaka mitatu mfululizo wapewa tuzo za ufundishaji bora .

Walimu hao wamekabidhidhiwa tuzo hizo zilizoandaliwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Babati kwa kushirikiana na wadau mbalimbali na kukabidhiwa na Mgeni rasmi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini Mhe.Emmanuel Khambay katika Uwanja wa Tanzanite Kwaraa.

Akihutubia katika hadhira hiyo Mhe. Khambay ameupongeza Uongozi wa Halmashauri ya Mji Babati kwa kusimamia vizuri Idara ya Elimu Sekondari na kupelekea kushika nafasi ya 4 Kitaifa kwa Halmashauri zote Nchini kwa mwaka 2024.

Aidha amewataka Walimu kukamilisha silabasi mapema ili wapate muda wa kufanya marudio kwa ufaulu mzuri. Pia ameahidi kuwezesha upatikanaji wa mashine ya kudurufu yenye uwezo mkubwa itakayosaidia uchapishaji wa mitihani ya kila mwezi kwa Shule za Msingi na Sekondari.

Vile vile amewaasa Wananchi kulinda Amani na utulivu kwa kuwa ni Tunu ya Taifa na Msingi wa Maendeleo.

Awali Akisoma taarifa mbele ya Mgeni rasmi Mratibu Elimu Kata ya Maisaka Bw. Muna Siai ameeleza Tuzo hizo zinatolewa kwa Shule zilizofanya vizuri kwa miaka mitatu mfululuizo yaani positive mobility. Pia Tuzo za Walimu waliofanya vizuri kwa daraja A, B na C

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili 2025. May 08, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR CONSTRUCTION SUPERVISION CONSUTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BABATI TOWN UNDER TACTIC PRJECT TIER 2 March 07, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • Walimu wapewe Tuzo za Ufundishaji bora katika Halmashauri ya Mji wa Babati.

    December 03, 2025
  • Madiwani na Wataalam waaswa kuwajibika pamoja na kusimamia miradi ya Maendeleo.

    December 02, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Babati Mhe.Yona Wao amesisitiza Uwajibikaji.

    December 02, 2025
  • Madiwani 11 wamekula kiapo cha kutunza maadili na kutoa tamko la uadilifu.

    December 02, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Makala ya Miradi ya Maendeleo Halmashauri ya Mji wa Babati 2024
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati