Kamati ya Lishe ya Halmashauri ya Mji wa Babati imezinduliwa rasmi leo 15/10/2018 na kufanya kikao chake cha robo ya kwanza ya mwaka 2018/2019. Pamoja na mambo mengine muhimu, kikao kilianza kwa kutambulisha wajumbe wa kamati hiyo kama ifuatavyo:
Katibu wa kudumu ni Bwn Charles Mtabho( mwenye shati la buluu) ambaye pia ni Mganga Mkuu wa Mji, pia kuna Mratibu wa Lishe Bi. Namsifu Godson ambaye ataratibu shughuli zote za kamati, wajumbe ni pamoja na
baadhi ya wakuu wa idara, wadau kutoka mashirika mbalimbali na viwanda, viongozi wa dini na wanahabari.
kamati imejadili kwa kina hali ya lishe kwa sasa Katika Mkoa wetu na mpango mkakati wa kupunguza matatizo ya kilishe.
Picha zaidi kwenye Gallery.
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati