• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Miji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Madini
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumisha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

TASAF-Uhawilishaji wa Ruzuku kwa Kaya maskini

Imechapishwa: October 1st, 2020

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF umeendesha zoezi la uhawilishaji wa ruzuku kwa kaya maskini. Zoezi hilo lililochukua muda wa siku mbili yaani tarehe 29 na 30 Septemba 2020 ikiwa ni malipo ya awamu ya kwanza katika utekelezaji wa awamu ya pili ya mpango wa kunusuru kaya maskini.

(Picha: Nyeneu, P. R) Miongoni mwa walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya maskini TASAF wakiwa wanasubiri mgao wa fedha katika Mtaa wa Mrara.

Aidha malipo haya yalikuwa ni ya awamu mbili, ambazo ni Julai - Agosti 2020 na Septemba - Oktoba 2020 ambapo kiasi cha fedha jumla ya shilingi 62,332,000 zimelipwa kwa walengwa kutoka mitaa yote kumi na tano (15) ambazo ni Babati Mjini, Hangoni, Maisaka B, Majengo, Kwere, Mrara, Waang'waray, Mji Mpya, Negamsi, Ngarenaro, Nyanguu(Nyunguu), Oysterbay, Arri, Nangara Kati na Gendi Barazani, na vijiji sita (6) ambavyo ni Nakwa, Kiongozi, Malangi, Chemchem, Singu pamoja na Managhat.

(Picha: Nyeneu, P. R) Miongoni mwa walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya maskini TASAF akiwa tayari kuchukua ruzuku ya kaya yake.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI NGAZI YA TATU July 27, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 18, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • RC Makongoro asisitiza ukusanyaji mapato ulete tija kwa uchumi

    August 11, 2022
  • Sekta ya Elimu Babati Mji yanufaika na NMB

    May 09, 2022
  • Maelekezo ya utekelezaji wa Mtaala - Kutoka Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia

    February 03, 2022
  • Mradi wa madarasa 18 uliogharimu Tshs. 379,267,500 wakabidhiwa

    December 28, 2021
  • Tazama zaidi

Video

Uzinduzi wa Maonesho ya Nanenane 2022
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati