Na Nyeneu, P. R
Katibu Tawala Wilaya ya Babati Ndg. Halfan Matipula akiongozana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Babati Bi. Anna Fisoo wametembelea maeneo ya Mji wa Babati ambako zoezi hili la Sensa ya watu na Makazi linafanyika. Lengo la ziara hiyo ilikuwa ni kutoa hamasa kwa wakazi wa Mji huo kujitokeza kuhesabiwa na kuwapa ushirikiano makarani wa Sensa kwa kutoa taarifa sahihi na kutokuhesabiwa zaidi ya mara moja.
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati