• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka Ngumu
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa/Kijiji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Biashara
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

Mhe.Kassim Majaliwa amezindua Mashindano ya Umitashumta na Umisseta Mkoa Iringa 2025.

Imechapishwa: June 9th, 2025

Uzinduzi wa Umitashumta na Umisseta Mkoa Iringa 2025.yenye kauli mbiu isemayo" Viongozi Bora ni msingi wa Maendeleo ya Taaluma sanaa na michezo, Shiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa Amani na utulivu.

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amefungua rasmi mashindano ya Umitashumta na Ummisseta yanayojumuisha Mikoa yote 26 Nchini ,Katika uzinduzi huo ameipongeza Ofisi ya Rais Tamisemi na Wizara ya Habari kuendelea kuhakikisha michezo inafanyika kila mwaka ,pia ameupongeza Uongozi wa Mkoa wa Iringa kwa maandalizi mazuri ya viwanja na malazi.

Mhe. Majaliwa amesema kuwa kauli mbiu imebeba ujumbe mzuri unaohamasisha michezo na shughuli za maendeleo na amewataka wanamichezo kuonesha umahiri katika michezo ili michezo iwe na tija kwenye maisha yao katika kujenga Afya, kuepuka ulevi , madawa ya kulevya , utoro shuleni, kupata ajira na kuongeza mapato.

Aidha ameeleza kuwa Serikali inaendelea kuimarisha mikakati ya michezo ambapo takribani bilioni 11 zimetengwa kuimarisha miundombinu ya michezo katika Shule 10 Nchini, billioni 32 zimetengwa kuimarisha Chuo Cha Malya ambacho kitakuwa kikubwa Afrika Mashariki kwa ajili ya kuandaa wanamichezo, mfuko wa Maendeleo ya michezo kwa ajili ya kuendeleza vipaji,pia Serikali imejipanga kufundisha kwa nadharia na kwa vitendo michezo."Vyama vya michezo mlete wataalamu katika mashindano haya ili waweze kuibua wanamichezo, ameeleza.

Pia amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri zote kuhakikisha Walimu wa michezo wanapata mafunzo yanapotokea, pia maeneo yaliyowazi kutumika kwa ajili ya matumizi ya michezo

Wizara ya Utamaduni kutoa vibali kwa Shule binafsi vya uendelezaji wa vipaji , watanzania wote kufanya mazoezi kwa ajili ya kuimarisha Afya.

Sambamba na hilo amewataka wananchi kushiriki Uchaguzi kwa Amani na utulivu kwa kuwa Uchaguzi utakuwa wa huru na wa haki.

Kwa upande wake Mkuu wa mkoa Iringa Mhe. Peter Serukamba amewakaribisha wanamichezo wote na ameeleza kuwa hali ya ulinzi na usalama Mkoa wa Iringa ni shwari.

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili 2025. May 08, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR CONSTRUCTION SUPERVISION CONSUTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BABATI TOWN UNDER TACTIC PRJECT TIER 2 March 07, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • Mkuu wa Wilaya ya Babati amefanya ziara ya kutembelea miradi ya Mwenge wa Uhuru Halmashauri ya Mji Babati

    July 01, 2025
  • Usafi umeendelea katika Machinjio yaliyopo katika Mtaa wa Maisaka B.

    July 01, 2025
  • Mhe.Emmanuela amekabidhiwa gari katika Viwanja vya Mkuu wa Mkoa wa Manyara.

    June 30, 2025
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Babati ameendelea na ziara ya Kata kwa Kata

    June 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Makala ya Miradi ya Maendeleo Halmashauri ya Mji wa Babati 2024
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati