• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka Ngumu
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa/Kijiji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Biashara
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

Mhe.Dk Samia Suluhu Hassan amehitimisha Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 Mkoani Manyara

Imechapishwa: October 14th, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan amehitimisha Kilele cha  Mbio za Mwenge Uhuru 2023 Mkoani Manyara shughuli hiyo imehudhuriwa na Viongozi mbalimbali wakiwemo Makamu Wa  Rais,Mawaziri, Naibu Waziri Mkuu pamoja na Spika wa Bunge, katika shughuli hiyo kubwa ya kitaifa.Ambapo Mwenge wa Uhuru umekimbizwa katika Halmashauri 195 na  Mikoa 31 Tanzania Bara na Visiwani.

Mhe. Dk.Samia Suluhu Hassan amehudhuria  Misa Takatifu ya kumuombea  Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika Kanisa la Roho Mtakatifu Mjini Babati.Pia ametembelea maonesho ya wiki ya Vijana Kitaifa ambayo yamefanyika katika eneo la Stendi ya zamani na kuhudhuriwa na vijana takribani 450 kutoka Mikoa yote Tanzania Bara pamoja na Visiwani.

Pia  Mhe. Rais amesisitiza kuziishi falsafa za Mwalimu Nyerere na kutozipuuza, ametaka kudumisha Umoja ikiwa ni moja ya falsafa ambazo Mwalimu Nyerere alihimiza katika maisha yake. Ameongeza kuwa Serikali imeweka jitihada za kuboresha maisha ikiwemo Ujenzi wa Vyuo ya Veta lengo ni Vijana kupata ujuzi na  amewapongeza Vijana ambao walioshiriki  katika wiki ya Vijana Kitaifa.

Vilevile amezikumbusha Halmashauri na wananchi kupanda miti na kutochoma moto ovyo mashambani kwa  kufanya hivyo kunasababisha mabadiliko ya tabia ya nchi. Pia amepongeza Taasis zinazofanya  kampeni juu ya upandaji miti  na utunzaji wa mazingira.Na amesisitiza mashindano juu ya upandaji miti yaendelee ili kuhamasisha zoezi la upandaji miti na kutunza mazingira sambamba na Kauli Mbiu ya Mwenge wa Uhuru 2023 Mabadiliko ya Tabia ya Nchi”Tunza mazingira,Okoa vyanzo vya Maji kwa ustawi wa Viumbe Hai kwa Uchumi wa Taifa.

Pia  Mhe. Dk.Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi kuwashauri wananchi kuacha kilimo cha zao la bangi na kulima mazao ya biashara au kufanya nyingine tofauti na hizo za madawa ya kulevya hakina tija na kinaleta madhara kwa Taifa.. Sambamba na hilo  amewataka wananchi kuchukua tahadhari kubwa juu ya ugonjwa wa Ukimwi, amesisitiza kuhusu umuhimu wa lishe huku akiwataka Wakuu wa Mikoa kulishughulikia suala hilo na  ametoa  takwimu za  Mikoa ambayo inakabiliwa na changamoto ya udumavu na kutaka Viongozi kufanyia kazi suala hilo.

Mkuu wa mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga  amemshukuru Mhe. Dk. Samia  Suluhu Hassan kwa miradi ya maendeleo katika  Mkoa wa Manyara na matukio yote matatu Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere na kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 pamoja na wiki ya vijana Kitaifa .Ameeleza kuwa kufanyika kwa mambo  imesaidia kuleta mzunguko wa fedha Mkoa wa Manyara.

Vilevile Mhe.Joyce Ndalichako Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Ajira,Vijana na Wenye Ulemavu amesema kuwa Mkoa wa Manyara una miradi katika Sekta ya Afya,Elimu,Kilimo na Maji takribani Millioni 12 katika mradi wa maji Sigino,Mradi wa ujenzi wa soko la Madini Millioni 5.4,mradi wa Shule ya wasichana Mkoa wa Manyara Billioni 3 na mradi wa Kilimo cha umwagiliaji Millioni 11.3.


Matangazo

  • TERMS OF REFERENCE FOR CONSTRUCTION SUPERVISION CONSUTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BABATI TOWN UNDER TACTIC PRJECT TIER 2 March 07, 2025
  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili 2025. May 08, 2025
  • Tangazo kwa waliopimiwa na kurasimishiwa viwanja - Sawe na Nangara December 25, 2022
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kidato cha Kwanza - 2023 December 14, 2022
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • Timu ya Menejimenti Halmashauri ya Mji Babati imefanya Ziara kukagua Miradi ya Maendeleo

    May 07, 2025
  • Watumishi Manyara wametakiwa kupendana na kuacha chuki.

    April 30, 2025
  • Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe.Emmanuela Kaganda amewataka Wananchi kuuenzi Muungano.

    April 26, 2025
  • Chanjo nyongeza ya polio (IPV2) kuanza kutolewa kwa watoto wa miezi 9 mwezi wa tano 2025.

    April 24, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Makala ya Miradi ya Maendeleo Halmashauri ya Mji wa Babati 2024
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati