• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka Ngumu
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa/Kijiji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Biashara
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

Mhe. Sendiga amehitimisha Juma la Elimu ya Watu wazima katika Viwanja vya Stendi ya zamani Babati Mjini

Imechapishwa: September 4th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Queen Sendiga amewataka wananchi kutumia fursa ya Elimu ya Watu wazima ili kuepukana na utegemezi kwenye jamii.

Hayo ameyasema wakati wa kilele cha maadhimisho ya Juma la Elimu ya Watu wazima yaliyofanyika kwa ngazi ya Mkoa katika stendi ya zamani Mjini Babati.

Aidha ameeleza kuwa Elimu ya Watu wazima inaendana na ujasiriamali na kuitaka jamii kuwaunga mkono wajasiriamali kwa kununua bidhaa zao ili kukuza uchumi wa Mkoa wa Manyara.

Pia amewataka Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi kuandaa mikakati inayotekelezeka ikiwa ni pamoja na kuandaa bajeti ili kufanikisha utekelezaji wa utoaji wa Elimu kwa Watu wazima.

Aidha Afisa Elimu Mkoa Halfan Omary ameeleza kuwa Elimu ya Watu wazima ilianzishwa mnamo mwaka1975 kwa Sheria ya Bunge namba 2.

"Takwimu ya sensa 2022 kwa Mkoa wa Manyara inakadiriwa kuwa asilimia 21.8 ya watu wazima wasiojua kusoma na kuandika" Ameeleza.

Pia ameongeza kuwa Serikali ina mipango mbalimbali ya Elimu ya Watu wazima ikiwemo MEMKWA ,Mpango wa Elimu changamani vijana walio nje ya mfumo Rasmi( IPOSA),Mitihani Binafsi inayotolewa na NECTA.

Maadhimisho ya Juma la Elimu ya Watu wazima yalianza Septemba 2/2025 na kutamatika Septemba 4/2025.

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili 2025. May 08, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR CONSTRUCTION SUPERVISION CONSUTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BABATI TOWN UNDER TACTIC PRJECT TIER 2 March 07, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo 634 wameendelea kupewa mafunzo katika Ukumbi wa Manyara Girls Jimbo la Babati Mjini ambalo lina Vituo 206.

    October 27, 2025
  • Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo takribani 634 vya kupiga Kura wamekula kiapo cha kutunza Siri mbele ya Hakimu Mwandamizi Bi.Hafsa Hatibu Anzurui katika Ukumbi wa Manyara Girls Jimbo la Babati Mjini.

    October 26, 2025
  • Makarani Waongozaji Wapiga kura wamekula kiapo cha kutunza siri pamoja na tamko la kujitoa uanachama wa Siasa mbele ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Babati Mjini Bw. Simon Mumbee.

    October 25, 2025
  • "Tujenge tabia ya kufanya usafi katika Mazingira yetu".RC Sendiga.

    October 25, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Makala ya Miradi ya Maendeleo Halmashauri ya Mji wa Babati 2024
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati