• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka Ngumu
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa/Kijiji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Biashara
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

Maadhimisho ya Siku ya Afya ya akili : Mhe. Sendiga awataka wananchi kujitokeza kwa Wingi kupima Afya ya akili.

Imechapishwa: October 10th, 2025

Maadhimisho ya Siku ya Afya ya akili : Mhe.Sendiga awataka wananchi kujitokeza kwa Wingi kupima Afya ya akili.

 Mhe.Sendiga ametoa Rai  hiyo wakati akihutubia wananchi kwenye maadhimisho ya siku ya Afya ya akili Duniani yaliyofanyika kitaifa Mkoani Manyara.

Aidha  ameeleza kuwa changamoto ya Afya ya akili husababisha kuongezeka kwa vitendo vya ukatili katika jamii na kuleta madhara makubwa ikiwemo vifo, Hivyo ni muhimu wananchi wapime ili wapate matibabu.

Pia Mhe.Sendiga amemuomba Mkurugenzi wa Milembe kuunda Timu ambayo itazunguka Wilaya zote zilizopo Mkoa wa Manyara ili kuwafikia Wananchi kwa wingi ili waweze kujua Hali zao za Afya ya akili.

Awali akisoma taarifa Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Afya ya akili Milembe Dkt. Paul Lawa Ameeleza kuwa wameweka mipango kuwasaidia waathirika katika majanga mbalimbali kama vile moto,mafuriko pamoja na kuboresha Huduma za Afya ndani ya Halmashauri kwa kuweka Vitengo vya Afya ya akili katika Vituo vya kutolea Huduma.Pamoja na kushirikisha Sekta na Wadau mbalimbali ili kuweza kutafuta ufumbuzi wa changamoto za kukabiliana na Matatizo ya Afya ya akili.

Siku ya Afya ya akili Duniani huazimishwa kila mwaka Oktoba 10/2025.

Sambamba na hilo Mhe.Sendiga ametoa wito kwa Wananchi kujitokeza kupiga kura katika  Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika  Oktoba29/2025.

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili 2025. May 08, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR CONSTRUCTION SUPERVISION CONSUTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BABATI TOWN UNDER TACTIC PRJECT TIER 2 March 07, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • Babati TC 23-9 Hanang' DC.

    October 14, 2025
  • Babati TC yaitembezea kichapo cha Goli 5-3 Fountain Gate Staffs.

    October 12, 2025
  • Maadhimisho ya Siku ya Afya ya akili : Mhe. Sendiga awataka wananchi kujitokeza kwa Wingi kupima Afya ya akili.

    October 10, 2025
  • Madaktari Bingwa na Bobezi wameendelea kutoa Huduma katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Babati kwa Magonjwa mbalimbali.

    October 06, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Makala ya Miradi ya Maendeleo Halmashauri ya Mji wa Babati 2024
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati