• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka Ngumu
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa/Kijiji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Biashara
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

Kilele Cha wiki ya Mazingira. yenye kauli mbiu" Mazingira yetu na Tanzania ijayo tuwajibike sasa kudhibiti matumizi ya Plastiki".

Imechapishwa: June 5th, 2025

Kilele Cha wiki ya Mazingira. yenye kauli mbiu" Mazingira yetu na Tanzania ijayo tuwajibike sasa kudhibiti matumizi ya Plastiki"

Wanakikundi wajasiriamali na wakulima wa mbogamboga na matunda wa Mtaa wa Kwere Kata ya Babati wapanda miti ya matunda kwa ajili ya kuhifadhi mazingira.

Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Emmanuela Kaganda amewaongoza wanakikundi hao wanaofadhiliwa naTaasisi ya Mkono kwa mkono(hand to hand) kupanda miti.

Mhe.Kaganda amewataka wanakikundi hao na wananchi kwa ujumla kuwa mabalozi katika kutunza mazingira pamoja na kuhakikisha Plastiki zinakusanywa kwenye maeneo yote kwa kuwa zinatoa kemikali sumu na kuharibu vinasaba vya udongo.

" Wataalamu undeni Vikundi vya Mazingira kwa wingi kwa ajili ya kutunza mazingira pamoja na kuteketeza

Mimea vamizi inayoweza athiri rutuba ya udongo na kuathiri upatikanaji wa chakula" ameeleza.

Aidha amewataka wananchi kuacha kukata miti ya asili bila kibali kutoka Ofisi ya Mkuu wa Wilaya kwa kuwa vitendo hivyo husababisha ukame na mabadiliko ya Hali ya hewa pia amewataka kila mmoja achukue hatua ili kulinda mazingira yetu.

Sambamba na hilo ameeleza kuwa Serikali inawajali wananchi wake kwa kuwa imewezesha upatikanaji wa Vifaa kama pawatila kwa wakulima wa mpunga,trekta na Mashine za kuvuna Mpunga (combining harvestor) zitazotolewa hivi karibuni.

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili 2025. May 08, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR CONSTRUCTION SUPERVISION CONSUTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BABATI TOWN UNDER TACTIC PRJECT TIER 2 March 07, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • Kilele Cha wiki ya Mazingira. yenye kauli mbiu" Mazingira yetu na Tanzania ijayo tuwajibike sasa kudhibiti matumizi ya Plastiki".

    June 05, 2025
  • Mama lishe na Baba lishe wa soko kuu la Halmashauri ya Mji Babati wahimizwa kufanya usafi .

    June 05, 2025
  • Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari wapewa mafunzo ya chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi.

    June 03, 2025
  • Kumalizika kwa kambi ya kuunda timu ya Mkoa ,itakayoshiriki UMITAMSHUTA Taifa.

    June 02, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Makala ya Miradi ya Maendeleo Halmashauri ya Mji wa Babati 2024
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati