Katika Kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima nanenane Kanda ya Kaskazini Viwanja vya Themi Njiro Jijini Arusha Mgeni rasmi MKuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Queen Sendiga amesisitiza Ufugaji,Kilimo pamoja na Uvuvi wa kisasa katika jamii ili kuwezza kupata tija katika shughuli hizo.
Halmashauri ya Mji wa Babati imepata Tunzo ya Mshindi wa 1 katika Nafasi Mifugo,Msindi wa 1 katika Kilimo na 2 katika Mkulima Mfugaji kwa Mkoa wa Manyara. Zawadi hizo zimepokelewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Babati CPA.Shaaban A. Mpendu.
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati