Halmashauri ya Mji wa Babati imeingia mkataba wa uwekezaji wa fukwe ya Ziwa Babati maarufu kama Royal beach na Muwekezaji Mati Super Brands limited kwa lengo la kuongeza mapato ya Halmashauri.
Mkataba huo umesainiwa katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Babati mbele ya Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Abdulrahman Kololi, Wanasheria, Timu ya menejimenti na wawakilishi kutoka kampuni ya Mati Super Brands limited.
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati