• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka Ngumu
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa/Kijiji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Biashara
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

Baraza maalum la Hoja Halmashauri ya Mji wa Babati.

Imechapishwa: May 27th, 2025

Baraza Maalum la hoja limefanyika katika Ukumbi wa Halmashauri wa Mji Babati ambapo limeudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Queen Sendiga,Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Babati Mhe.Abdulrahman Kololi,Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Babati Bw.Shaaban Mpendu,Viongozi wa Chama na Serikali pamoja na Watumishi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na Halmashauri ya Mji Babati.

Akifungua Baraza la Maalum la hoja Mhe. Sendiga ameeleza kuwa uwepo wa Baraza hilo ni muhimu kwa kuwa linatoa nafasi ya kupitia na kukagua namna matumizi na manunuzi ya Serikali yamefanyika kwa kuzingatia Sheria na taratibu za manunuzi.

Aidha amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji kwa kupata hati safi kwa mwaka 2023/2024 kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali.

Pia Mhe.Sendiga amesisitiza kuendelea kufanya kazi kwa uadilifu ili kupunguza hoja,hata hivyo baadhi ya hoja zimefungwa vilevile amewataka

Wataalamu kushughulikia mapema hoja zinazohusu Fedha ili zifungwe mapema.

Pamoja na hayo ametoa angalizo kwa Viongozi wa kisiasa kukaa mbali na shughuli za Maendeleo zinazotekelezwa na Serikali kwa Wavamizi wa maeneo ya Serikali waachie maeneo hayo mara moja kwa kuwa Sheria zitachukuliwa dhidi yao. Ameeleza

Amezungumzia Fedha ya Mfuko wa Jimbo kuwa sio mali ya Mbunge ni Mali ya Serikali hivyo inapaswa kufuata na kuzingatia utaratibu katika kutekeleza Miradi ya Maendeleo ili kuepuka ukiukwaji wa utaratibu wa manunuzi.

Aidha amesisitiza kuzingatia maelekezo yanayotolewa na Ofisi ya Rais tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kuwa watumishi wanaosababisha hoja kuchukuliwa hatua.

Akieleza mbele ya Mkuu wa Mkoa, mwekahazina wa Halmashauri ya Babati Mji ameeleza kuwa hoja mbali mbali zimefanyiwa kazi na kwa chache zilizobaki ufuatiliaji unaendelea ili kuzimaliza.

Sambamba na hilo ameagiza kuwa wadaiwa wote wanatakiwa kuandikiwa barua maalumu (commitment letter) inayoonesha mpango wa malipo na kuyakamilisha malipo hayo kabla ya mwezi Juni 2025.

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili 2025. May 08, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR CONSTRUCTION SUPERVISION CONSUTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BABATI TOWN UNDER TACTIC PRJECT TIER 2 March 07, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • WASOMI KUTOKA CHUO KIKUU CHA MUHAS DAR ES SALAAM WATEMBELEA HALMASHAURI YA MJI BABATI.

    July 24, 2025
  • Bill 19.9 kujenga Stendi ya kisasa, Barabara za kiwango cha lami nzito za Mji km 4.7 na mitaro km 8.15 Halmashauri ya Mji Babati.

    July 24, 2025
  • Wafugaji Halmashauri ya Mji Babati kunufaika na Ruzuku ya 50% ya Serikali ya chanjo za mifugo.

    July 23, 2025
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Babati CPA. Shaaban Mpendu aagiza wakandarasi kusimamia ubora miradi ya Maendeleo.

    July 22, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Makala ya Miradi ya Maendeleo Halmashauri ya Mji wa Babati 2024
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati