Baraza la Mtihani (NECTA) latangaza matokeo - CSEE, FTNA, QT na SFNA
Imechapishwa: January 15th, 2021
Baraza la mitihani la Tanzania (NECTA) leo tarehe 15 Januari 2021 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne na maarifa, upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili na darasa la nne kwa mwaka 2020. Ili kutazama matokeo hayo bonyeza viunganishi vifuatavyo:-