• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka Ngumu
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa/Kijiji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Biashara
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

ALAT yaipongeza Halmashauri ya Mji wa Babati kwa usimamizi mzuri wa Miradi ya Maendeleo.

Imechapishwa: March 7th, 2025

Ujenzi wa majengo mapya katika Hospitali ya Mji wa Babati umefikia asilimia 98 kutokana na ufuatiliaji wa karibu wa Halmashauri ya Mji wa Babati.

Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Halmashauri, Shaban Mpendu, alipokuwa akitoa taarifa kuhusu maendeleo ya mradi huo kwa Kamati ya ALAT Mkoa wa Manyara.

Majengo hayo mapya yanajumuisha jengo la mionzi, maabara, jengo la kufulia nguo, jengo la wagonjwa wa nje, na kichomea taka.

Kwa mujibu wa Mpendu, hatua inayofuata ni ujenzi wa njia za wapita kwa miguu na ukuta kwa upande wa nyuma uliosalia, pamoja na ujenzi wa wodi mbili za wanaume na wanawake ili kuboresha zaidi huduma kwa wananchi.

Katika ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo Machi 7, 2025, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) mkoa wa Manyara, Peter Sulle, amepongeza serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha huduma bora zinapatikana kwa Wananchi.

Alisema kuwa Serikali imetekeleza kwa kiwango kikubwa ahadi yake ya kuboresha huduma za afya Manyara.

Kamati ya ALAT mkoa wa Manyara imeipongeza Halmashauri ya Mji wa Babati kwa usimamizi mzuri wa mradi huo, ambapo thamani ya fedha imeonekana.

Serikali ilitoa shilingi bilioni 1.4 kwa ajili ya ujenzi wa majengo hayo matano, hatua inayolenga kuimarisha huduma katika hospitali hiyo kongwe inayohudumia wakazi wa Babati na maeneo jirani.

Pia, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Babati, Shaaban Mpendu, ameeleza kuwa huduma kwa wateja zimeboreshwa, ambapo baadhi ya watumishi wazembe walifukuzwa au kuhamishwa.

Aidha, amemuagiza Mganga Mkuu wa hospitali hiyo aanzishe mafunzo ya huduma kwa wateja kwa watumishi wote ili kuondoa malalamiko kutoka kwa wananchi.

Afisa Tarafa wa Babati, Hassan Msalla, akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya, ameihakikishia kamati ya ALAT kuwa miradi yote ya Serikali inasimamiwa kwa umakini ili kuhakikisha thamani ya fedha inapatikana.

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili 2025. May 08, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR CONSTRUCTION SUPERVISION CONSUTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BABATI TOWN UNDER TACTIC PRJECT TIER 2 March 07, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • Halmashauri ya Mji Babati imepokea Ugeni kutoka Wizara ya Afya Ofisi ya Rais Tamisemi na Wizara ya Elimu.

    June 02, 2025
  • Kuelekea Umitashumta Taifa.

    June 01, 2025
  • Kikao kazi cha maazimio ya mikakati ya kupunguza Ukatili wa kijinsia.

    May 29, 2025
  • Wakazi wa Halmashauri ya Mji Babati wanufaika na Gulio la Gendi.

    May 28, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Makala ya Miradi ya Maendeleo Halmashauri ya Mji wa Babati 2024
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati