ORODHA YA WASIMAMIZI WA VITUO, WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO NA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA
20 October 2020
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Babati Mjini anawatangazia Wananchi wote kuwa, wafuatao wameteuliwa kuwa Wasimamizi wa Vituo, Wasimamizi wasaidizi wa Vituo na Makarani waongoza wapiga Kura kama walivyoorodheshwa hapo chini kwa kila nafasi.