Mkufunzi kutoka chuo cha Elimu kwa wote awaonesha wajasiriamali mwonekano wa batiki mbalimbali (kufinyanga, kuchovya na kuprinti) baada ya kufanya zoezi la utengenezaji wa batiki hizo kwa vitendo. Aidha wajasiriamali hao walifundishwa pia namna ya kutengeneza sabuni za maji na za vipande, mafuta ya mgando, ufugaji wa kuku na sungura, ukulima wa matikiti maji n.k.
Mafunzo hayo yamefanyikia katika Ukumbi wa CCM
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati