Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Babati Bw.Fortunatus H. Fwema akipokea Mwenge wa Uhuru katika Kijiji cha Kiongozi tarehe 12/09/2017. Mwenge wa Uhuru ulizindua miradi ya Maendeleo ya wananchi minne na kuweka mawe ya Msingi katika miradi mitatu. Miradi yote imegharimu jumla ya shilingi Milioni Mia nane na tisa laki tano elfu mbili mia nne na themanini na sita.
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati