Mkuu wa Mkoa wa Manyara Bw Alexander Mnyeti akikabidhi pikipiki kwa watendaji wa kata sita wakati wa ziara yake kwenye Halmashauri ya mji wa Babati Leo tarehe 7 Nov 2019
Pamoja na zoezi hilo pia Mh. Mnyeti alikagua na kuweka mawe ya msingi katika shule mpya ya msingi Sawe, Jengo la Ofisi ya kata ya Maisaka, shule ya sekondari Hangoni na kukagua mradi wa barabara za lami umbali wa KM 0.8 Pia Mkuu wa Mkoa alizungumza na wananchi kila alikopita na kutatua kero mbalimbali.
kwa picha zaidi za matukio ya ziara hii tembelea http://www.babatitc.go.tz/sinlge-gallery/ziara-ya-mkuu-wa-mkoa-tarehe-7-nov-2019
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati