• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka Ngumu
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa/Kijiji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Biashara
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

Mhe.Sendiga ameetendelea na ziara ya kusikiiza kero za Wananchi na kukagua miradi ya Maendeleo.

Imechapishwa: December 11th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga ameendelea na ziara yake ya Kata kwa Kata katika Halmashauri ya Mji Babati yenye lengo la kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja kusikiliza na kutatua kero za Wananchi.

Mhe.Sendiga amesema Huduma ya Afya katika Wilaya ya Babati ni nzuri takribani Milioni 680 zimetengwa kwa ajili ya afya Wilaya ya Babati ikiwa ni pamoja na miundombinu na vifaa tiba.

Pia ameagiza kujengwa kwa Kituo cha Afya katika kijiji hicho,kuboresha huduma kutokana na ongezeko la Wanachi pamoja na gari la Wagonjwa.

Pia ameigiza Mamlaka ya Maji Babati (Bawasa) kuchimba kisima cha maji na ameitaka Bawasa kutafuta mkandarasi ifikapo mwisho wa mwezi Januari hatua mbalimbali za uchimbaji wa kisima hicho imefikiwa na maji yanapatikana katika Kijiji cha Managha.

Vilevile amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Babati kuhakikisha Wenyeviti wa Mitaa na Vijiji wanapatiwa posho kwa wakati.

Aidha Mhe.Queen Sendiga amesema kuwa Bweni litajengwa katika Shule ya Sekondari Nangara ili kuwasaidia Wanafunzi kusoma kwa bidii na kuongeza ufaulu zaidi.

Pia suala la Maji amesema kuwa Mkoa wa Manyara umetengewa takribani Shilingi Bilioni 10.4 ili Wananchi wapate maji na kuendeleza shughuli zao za kila siku.

Takribani Bilioni 2.2 kwa ajili ya Barabara katika Mkoa wa Manyara zimetengwa ili kusaidia shughuli za kila za Wananchi katika Maendeleo.

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili 2025. May 08, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR CONSTRUCTION SUPERVISION CONSUTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BABATI TOWN UNDER TACTIC PRJECT TIER 2 March 07, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • Mhe.Queen Sendiga amezindua Nyumba 2 za (2in1) za Walimu Chemchem.

    January 05, 2026
  • Takribani Shiingi Milioni 320,000,000/=Mkopo wa 10% zimetolewa kwa vya Vijana,Wanawake na Watu wenye Ulemavu

    December 31, 2025
  • Tuzo zimetolewa kwa Shule za Msingi zilizfoanya vizuri katika Halmashauri ya Mji wa Babati

    December 13, 2025
  • Mhe.Queen amehitimisha ziara ya kukagua miradi na kusikiiza kero za Wananchi katika Halmashauri ya Mji wa Babati

    December 12, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Makala ya Miradi ya Maendeleo Halmashauri ya Mji wa Babati 2024
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati