• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Barua pepe kwa wafanyikazi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Babati Town Council
Babati Town Council

Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Miundombinu, Maendeleo ya Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka Ngumu
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa/Kijiji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Biashara
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)
    • Utoaji wa Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Huduma za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari

Mashindano ya SHIMISEMITA 2025 yamefungwa rasmi Jijini Tanga .

Imechapishwa: August 29th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Balozi. DKt Batilda Buriani amewataka Wanamichezo kuwahamasisha Wananchi kujitokeza Kupiga Kura ifikapo Oktoba 29,2025.

‎Wanamichezo wametakiwa kutekeleza kwa vitendo kauli Mbiu ya Mashindano ya Shirikisho la Michezo Serikali za Mitaa Tanzania (SHIMISEMITA) ambayo yametamatika Jijini Tanga inayosema“Jitokeze Kupiga Kura kwa Maendeleo ya Michezo "kwa kuhakikisha wanajitokeza kushiriki kupiga Kura tarehe 29 Oktoba 2025 pamoja na kuwahamasisha Wananchi kujitokeza kupiga Kura.

Mhe. Buriani akifunga Mashindano ya 40 ya Shirikisho la Michezo ya Serikali za Mitaa Tanzania (SHIMISEMITA) amewataka  Wanamichezo  kuhakikisha wanahamasisha jamii kupitia Michezo kujitokeza kupiga Kura ifikapo tarehe 29 Oktoba 2025.

‎"Tumieni Michezo kuhamasisha Umma kujitokeza Kushiriki kupiga Kura Tarehe 29 Oktoba,2025".Alisema na kuongeza kuwa "Michezo hii ni moja ya fursa za kutangaza Halmashauri kwa Wananchi, kutambua ziko wapi na pia Watumishi kufahamiana kupitia Michezo".

Pia ameongeza kuwa ‎Jumla ya Halmashauri 150 kati ya 184 zimeshiriki Mashindano hayo ya SHIMISEMITA Jijini Tanga ambapo washiriki ni 3504 kati yao Wanaume 2114 na Wanawake 1390 wamecheza Michezo mbalimbali ikiwemo Mpira wa Miguu,Mpira Wa Pete,Kamba ,Riadha, draft karata,singeli,kwaya nk.

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili 2025. May 08, 2025
  • TERMS OF REFERENCE FOR CONSTRUCTION SUPERVISION CONSUTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN BABATI TOWN UNDER TACTIC PRJECT TIER 2 March 07, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI 2025. May 13, 2025
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • Mhe. Sendiga amehitimisha Juma la Elimu ya Watu wazima katika Viwanja vya Stendi ya zamani Babati Mjini

    September 04, 2025
  • Mhe.Sendiga ameweka Jiwe la Msingi katika jengo la Elimu ya Watu wazima.

    September 02, 2025
  • Mashindano ya SHIMISEMITA 2025 yamefungwa rasmi Jijini Tanga .

    August 29, 2025
  • SHIMISEMITA yazinduliwa rasmi Jijini Tanga

    August 23, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Makala ya Miradi ya Maendeleo Halmashauri ya Mji wa Babati 2024
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Idara ya Habari - Maelezo
  • Salary Slip Portal
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Mfumo wa Maombi ya Kazi
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Mji wa Mbulu
  • Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto
  • Halmashauri ya Wilaya Mbulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati

    Nukushi: +255-027-2510095

    Simu: +255-027-2510095

    Barua pepe: td@babatitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati