Bi namsifu Godwin Afisa lishe wa Halmashauri ya mji wa Babati akiendelea na zoezi la utoaji mafunzo kwa vitendo kuhusu lishe bora ili kuondoa tatizo la udumavu kwa watoto chini ya umri wa miaka 5. Zoezi hili lilifanyika katika kituo cha Afya Mutuka, kutokana na mafunzo hayo ya vitendo watoto zaidi ya 20 waliweza kupata uji wa lishe pamoja na mtori.
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati