Afisa maendeleo ya jamii bwana Peter Kimboy akitoa elimu ya kupinga ukatili katika shule ya sekondari ya ALDERSGATE
Aliyesimama ni Abdallah Ahmed afisa maendeleo ya jamii akitoa elimu ya kupinga ukatili katika shule ya sekeondari NANGARA
Bi Kidawa Badi afisa maendeleo ya jamii akiwa anatoa elimu ya kupinga ukatili katika shule ya sekondari ya FT. SUMAYE
Afisa maendeleo ya jamii Bi Marry Tetty akitoa elimu ya kupinga ukatili katika shule ya msingi WAANG'BAY
Afisa maendeleo ya jamii Bwana Daniel Sikira akitoa elimu ya kupinga ukatili kwa wanafunzi wa sekondari ya sekondari ya BABATI DAY
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati