Halmashauri ya Mji wa Babati inaendelea na mipango yake ya ujenzi wa Stendi ya Mabasi ya kwenda na kutoka mikoani. Hayo yamethibishwa na Timu ya Menejimenti ya Halmashauri hiyo ilipokutana katika vikao vyake vya kazi na kukubaliana kuanza mchakato huo wa kuhamia katika eneo la Maisaka katani.
Kwa hatua hiyo Mji wa Babati utapanuka sana na kuongeza maeneo mbalimbali ya uwekezaji na pia kufungua fursa za biashara kwa vijana wa Babati na walio nje ya Babati, fursa zitakazopatikana ni kama usafirishaji wa abiria kutoka Stendi mpya kwenda Mjini n.k.
Kwa picha zaidi angalia sehemu ya Maktaba ya picha.
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati