Wataalamu wa Halmashauri ya Mji wakijadiliana jambo kabla kuadhimisha Sherehe ya nanenane 2015 katika Kata ya Nangara
Washiriki wa maonesho ya nanenane wakijitambulisha
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Babati (kulia) akikagua na kuangalia bidhaa mbalimbali katika maonesho ya nanenane yaliyofanyika kata ya Nangara mwaka 2015
Huyu ni miongoni mwa Ng'ombe wa maziwa aliyekuja kwa ajili ya maonesho ya siku ya maziwa iliyofanyika kitaifa Mkoani katika Manyara Halmashauri ya Mji Babati mwaka 2015.
Ngamia wa maziwa akiwa katika maonesho ya siku ya maziwa yaliyofanyika Kitaifa Mkoani Manyara Halmashauri ya Mji Babati mwaka 2015.
Ngamia wa maziwa wakiwa katika maonesho ya siku ya maziwa yaliyofanyika Kitaifa Mkoani Manyara Halmashauri ya Mji Babati mwaka 2015.
Ngamia wa maziwa akiwa katika maonesho ya siku ya maziwa yaliyofanyika Kitaifa Mkoani Manyara Halmashauri ya Mji Babati mwaka 2015.
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Babati Bw.Reuben Mfune (wa pili kushoto) akikagua mradi wa gesi asilia katika shule ya msingi Managhat iliyopo Kijiji cha Managhat Halmashauri ya Mji Babati mwaka 2016.
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Babati Bw.Reuben Mfune( aliyeshika kiuno) akikagua mradi wa gesi asilia katika shule ya msingi Managhat iliyopo Kijiji cha Managhat Halmashauri ya Mji Babati mwaka 2016.
Haya ni majiko yanayotumia Gesi Asilia katika Shule ya msingi Managhat Halmashauri ya Mji Babati.
Aliyekua Mkurugenzi Halmashauri ya Mji Babati Bw. Reuben Mfune (kulia) akikagua vifaa vya maabara katika Shule ya Sekondari Nangara mwaka 2016.
Aliyekua Mkurugenzi Halmashauri ya Mji Babati Bw. Reuben Mfune (kulia) akikagua vifaa vya maabara katika Shule ya Sekondari Nangara mwaka 2016.
Aliyekua Mkurugenzi Halmashauri ya Mji Babati Bw. Reuben Mfune (kulia) akikagua maabara katika Shule ya Sekondari Nangara mwaka 2016.
Aliyekua Mkuu wa Wilaya Babati Bw. Crispin Meela akishiriki zoezi la upandaji miti mwaka 2016.
Wanakijiji wa Kijiji cha Nakwa wakiwa katika Mkutano wa ufunguzi wa mradi wa maji mwaka 2016.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Dr. Joel N. Bendera akipanda mti katika Kijiji cha Nakwa mwaka 2016.
Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini Mh. Pauline P. Gekul akipanda mti katika Kijiji cha Nakwa kilichopo Halmashauri ya Mji Babati.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Dr. Joel N. Bendera akiwahutubia wananchi katika Kijiji cha Nakwa kilichopo Halmashauri ya Mji Babati 2016.
Aliyekua Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Babati Bw. Reuben Mfune akizindua michezo katika Uwanja wa Kwaraa mwaka 2016.
Aliyekua Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Babati Bw. Reuben Mfune akikagua utengenezaji wa madawati katika Chuo cha VETA mwaka 2016.
Aliyekua Mkjurugenzi wa Mji Babati Bw. Reuben Mfune akikagua mradi wa ujenzi wa barabara ya lami mwaka 2016.
Timu ya Menejimenti ya Halmashauri ya Mji Babati ikikagua Mradi wa barabara ya lami katika Halmashauri hiyo mwaka 2016.
Wakuu wa Idara na Vitengo walipotembelea mashamba kuona hali halisi ya mazao mashambani Kata ya Sigino katika Halmashauri ya Mji Babati.
Wataalam wakiwa katika shamba la mkulima anayetumia mbinu bora za kilimo katika shamba lake la mahindi na mbaazi Kata ya Sigino Halmashauri ya Mji Babati.
Barabara ya Babati - Singida
Sanduku la Posta: P.O.Box 383 Babati
Nukushi: +255-027-2510095
Simu: +255-027-2510095
Barua pepe: td@babatitc.go.tz
Hatimiliki@2021 Haki zote zimehifadhiwa na Halmashauri ya Mji Babati